Bidhaa ya kwanza: C24/7
C24/7
Inatoa
lishekamili na Ulinzi wa muda mrefu.
C24/7 imeundwa na kutengenezwa kwa njia ya asili hivyo ni rafiki kwa afya ya
Binadamu. Imetengenezwa kwa ajili ya kupatia mtumiaji lishe kamili na Ulinzi
wa Seli za mwili. Ni chakula kilichoandaliwa
kwa ujuzi wa hali ya juu ikiwa na Virutubisho muhimu na ina Zaidi ya
Vikingasumu 22,000.
C24/7 Ina Vitamini 29 pamoja na madini muhimu
katika mwili wa Binadamu kuanzia Vitamin A hadi madini ya Zinc. Vitamin na
madini haya husaidia kwa kiasi kikubwa Kujenga na kuimarisha mfumo wa kinga
mwilini.
Ina
mchanganyiko wa juisi ya matunda 12 na mboga mboga aina 12.
Pia C24/7 ina amino aside ambazo ni muhimu
kwa ajili ya kujenga misuli.
Pia ina
vyakula aina 12 vitokanavyo na mmea ikiwemo Chlorophyll(Chanikiwiti).
Vilevile
ndaninyake kuna mchanganyiko wa Uyoga aina 12 tofautitofauti inayopatikana
Duniani.
Si hivyo tu
bali pia C24/7 ina aina 12 za vimeng’enya
mavyo husaidia ufanyaji kazi mzuri wa Mfumo wa Umeng’enyaji wa chakula.
Ina
virutubisho maalumu 12 ikiwemo na B-COMPLEX
Habari
ReplyDeleteHow much is this medicine in Tanzania
ReplyDelete