Bidhaa ya kwanza: C24/7




C24/7
Inatoa lishekamili na Ulinzi wa muda mrefu.
C24/7 imeundwa na kutengenezwa  kwa njia ya asili hivyo ni rafiki kwa afya ya Binadamu. Imetengenezwa kwa ajili ya kupatia mtumiaji lishe kamili na Ulinzi wa  Seli za mwili. Ni chakula kilichoandaliwa kwa ujuzi wa hali ya juu ikiwa na Virutubisho muhimu na ina Zaidi ya Vikingasumu 22,000.

C24/7 Ina Vitamini 29  pamoja na madini muhimu katika mwili wa Binadamu kuanzia Vitamin A hadi madini ya Zinc. Vitamin na madini haya husaidia kwa kiasi kikubwa Kujenga na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini.

Ina mchanganyiko wa juisi ya matunda 12 na mboga mboga aina 12.
Pia C24/7 ina amino aside ambazo ni muhimu kwa ajili ya kujenga misuli.

Pia ina vyakula aina 12 vitokanavyo na mmea ikiwemo Chlorophyll(Chanikiwiti).
Vilevile ndaninyake kuna mchanganyiko wa Uyoga aina 12 tofautitofauti inayopatikana Duniani.

Si hivyo tu bali pia C24/7 ina aina 12 za vimeng’enya mavyo husaidia ufanyaji kazi mzuri wa Mfumo wa Umeng’enyaji wa chakula.

Ina virutubisho maalumu 12 ikiwemo na B-COMPLEX

2 comments :

Powered by Blogger.