Makala Maalumu, by Happiness Team



HAPPINESS MASSAGE SERVICES

MAKALA MAALUMU-ALLIANCE IN MOTION ,UWASILISHAJI WA BIDHAA ZETU
Tunafurahi sana kukushirikisha bidhaa zetu bora, na jinsi bidhaa zetu zitakavyoweza:-
·        Kukupa afya bora
·        Kukufanya ujihisi vema
·        Na kukufanya uonekane kijana,kama ilivyo kwa maelfu ya Wasambazaji wetu na Wateja wetu Duniani kote, ambao wamenufaika kutokana na kutumia bidhaa zetu.
Dhima yetu: Ni kutoa bidhaa zenye ubora na sifa ili kuwawezesha watu waishi Maisha marefu na yenye afya bora.

Katika Makala hii ya uwasilishaji tunataraji kukupatia wewe Taarifa muhimu Juu ya kudumisha afya njema ili uweze kufurahia na kunufaika na maisha yako.

Tuanze somo.
   Moja ya sababu za Magonjwa hatarishi/ya kudumu ambayo yanafahamika na binadamu leo hii hujulikana kama Free radicals(radical huru).

Radical huru huvamia mwili wa binadamu kwa kushambulia seli za mwili na hivyo kuzitia dhiki katika utendaji wake wa kawaida. Hali hii huzifanya zibaki katika hali isiyo ya kawaida na zenye afya duni.

Hivyo kama seli zipo katika hali hiyo isiyo ya kawaida na zenye afya duni basi, Tishu za mwili, viungo na hata Mfumo wa mwili kujumla huathirika pia.
Hivyo kutokana na kuathirika kwa mwili baadhi ya magonjwa hatarishi hujitokeza, Magonjwa hayo ni kama vile Magonjwa ya moyo, Kisukari na hata Kansa(Saratani).
Kwa bahati mbaya sana kila siku tunashambuliwa na Radical huru kutokana vyakula visivyo na virutubisho bora na kutokana na Ucahafuzi wa mazingira na Matumizi ya kemikali ya kila siku ambayo yamekuwa kawaida kwetu na Msongo wa mawazo.

Cha kusikitisha Zaidi, Miili yetu inaweza kuchukua radical huru hizo nyingi lakini haina uwezo wa kuziondoa radical huru hizo zote na Mwishowe afya ya mwili hudhorota.

Kwa bahati nzuri, mwili w binadamu una Vikingamwili vingi dhidi ya hizi radical huru na miongoni mwa vikingamwili hivyo kimoja Hufahamika kama Antioxdant(Kikingasumu).

Antioxidans(Vikingasumu) huzifanya seli zilizoshambuliwa na radical huru zirudi tena katika hali ya kawaida, imara na zenye nguvu Zaidi na seli huhifadhiwa hivyo zinaweza kufanya kazi kufanisi na kwa usalama zaidi.

HATAHIVYO:Mwili w binadamu hauwezi kutengeneza Vikinga sumu asilia muda wote. Mwili wa binadamu unatakiwa upatiwe Vikingasumu hivi vya kutosha kwa ajili ya kupambana na athari mbaya za radical huru.

Na vyanzo bora kabisa vya Vikingasumu hivi ni Matunda na Mboga za majani.
Kwa hakika Shirika la afya Duniani (WHO) imependekeza kwamba watu wenye umri Zaidi nya miaka 35 wanatakiwa kula kwa kiwango cha chini kabisa ni Matunda matano kila siku na mboga za majanai. Ili kuupatia mwili virutubisho vya kutosha hususani Vikingamwili.
Hata hivyo Mapendekezo haya yanaonekana kuwa ni changamoto kubwa kwa watu kutokana na Mtindo mbaya wa Maisha usiozingatia kanuni za afya.




No comments

Powered by Blogger.